Video | Ali Kiba - Aje

Moja kati ya video kali ambazo zimetoka hivi karibuni basi ni ya wimbo "AJE" wa Ali Kiba. Video imeongozwa na Meji Alabi na imefanyika nchini Afrika Kusini.

Audio yake alishirikishwa msanii MI lakini katika video hakuweza kuwemo hivyo kufanyiwa video bila ubeti (verse) wa MI.

Hii hapa video ya AJE

0 comments: