New Audio | Suma Mnazaleti ft. Farao - My Number One

Ikiwa ngoma ya kwanza kutambulisha studio mpya na ya kisasa iliyopo eneo la Banda huko Mabibo, Dar es Salaam, ya THE DON RECORDS , hii "My Number One" ya kwake Suma Mnazaleti akimshirikisha Farao.
Ama hakika staa huyu ameipa heshima kubwa studio hiyo mpya inayomilikiwa na jamaa anayeitwa Raphael Lihamwike a.k.a Raph Tz ambae ni mwanae kabisa wa damu.


0 comments: