Video | Harmonize - Uno

Video kali toka kwa aliyekuwa msanii wa WCB Wasafi, ambae kwa sasa yupo Konde Gang, Harmonize ya kuitwa UNO ilitoka tangu tarehe 4 Novemba 2019. 
Hii ni moja kati ya video kali na ilifanywa na mtayarishaji wa video, Hanscana.
Enjoy


0 comments: