Video | Harmonize - Kushoto Kulia

Akiachia dude baada ya dude na kuendelea kuthibitisha kuwa yeye ni mkali licha ya kutoka katika label kubwa yenye jina kubwa na iliyojipatia umaarufu Bongo Dar es Salaam na Tanzania nzima ya WCB Wasafi, Harmonize aja na Kushoto Kulia baada ya ile ya Uno.
Bonge moja la video, limeachiwa tangu tarehe 2 Desemba 2019 na limepikwa vema na mtayarishaji Hanscana.


0 comments: