Video | Zablon Singers - Mkono Wa Bwana

Mkono wa Bwana ni wimbo wa dini ambao kwa sasa umekuwa habari ya mjini katika sehemu mbalimbali za ibada na za starehe, zikiwemo bar, clubs na sehemu nyingine ambapo wimbo huu unachezwa.

Huu ni wimbo wenye ushawishi mkubwa wa kumsifu Mungu na umekuwa ukipendwa sana na mashabiki wa dini zote licha ya kuwa ni wa dini ya kikristo.

Video yake ilitoka tarehe 19 Oktoba 2016, na hadi kufikia siku ya Jumatano ya terehe 18 Desemba 2019 umefikisha watazamaji 12,076,972 kupitia mtandao wa kijamii wa Youtube na bado umeendelea kuwa wimbo pendwa kila siku japo umetoka zaidi ya miaka 2 na nusu iliyopita.

Angalia na enjoy.


0 comments: