Audio: Duma Dume ft. Adam Shule Kongwe & Piwa Magic - Salaam

Hii hapa ngoma ya mkali wa kuitwa Duma Dume, mdundo umefanyika Marekani ila sauti/vocal zimesimamiwa na Allute ndani ya Bash Records mjini Singida.
Akiwa pamoja na Adam Shule Kongwe na Piwa Magic mzigo unaitwa "Salaam"

0 comments: