Audio: Pety Music ft. Madaraka - Rudi Nyumbani

What's up Dodoma?!
Hii hapa ngoma ya kijana anaitwa Pety Music aliyoifanya pale studio za One 4 Music kwa Mogella Abbasy.
Mzigo unakwenda kwa jina la "Rudi Nyumbani" na ameshirikiana na jamaa wa kuitwa Madaraka.

Kama unakumbuka, Madaraka pia alishiriki katika wimbo "Why" wa Meck Bizzo.

0 comments: