Hii hapa ngoma ya jamaa wa kuitwa Mazombie Inc wakiwashirikisha Wynem na Man Snepa, inakwenda kwa jina la "AMKA" mahsusi kwa wote waliotutangulia.
Mazombie Inc inajumuisha Raph Tz na Ali CMB, ila zamani ilikuwa na watu watatu akiwemo Laz Kingstone.
Jaysson @Kali Nation Studio
0 comments: