New Audio: Seby Conscious ft. Raph Tz, Double, Miracle & Winston - Pesa

Hii hapa ngoma mpya ya jamaa anayeitwa Seby Coscious. Imefanyika pale G Sound Records kwa Mnyama Double.

Sambamba na yeye kufanya ubeti wa pili, humo ndani wamo Raph Tz na Miracle waliofanya beti za kwanza na tatu, pia Double aliyefanya vizuri katika kiitikio (chorus), pamoja na mtangazaji wa Nyemo Fm Radio 97.7 ya Dodoma, Winston, aliyemalizia mwishoni (autro).

Seby pia anategemea kufanya ngoma nyingine inayokwenda kwa jina la "IBUKA" pale studio za G Sound kwa Double, na atakuwa na Raph Tz

0 comments: