Audio: Martin Multiple ft. Uncreakable, Flo J & Wise One - Somo
Kama unapenda kusikiliza mistari mizuri na kupata ujumbe, basi "SOMO" ya Martin Multiple inakufaa zaidi.
Ngoma imefanywa na Abuu pale AJ Records ila mdundo umenyongwa na Uncreakable wa Rap Nation.
Humu ndani wameshirikishwa Uncreakable mwenyewe, Wise One na Flo J, na jamaa anayeitwa Martin Multiple a.k.a Martin Swagg kutoka Dodoma.
0 comments: