New Audio: Mo Music - Almasi

"Almasi" ni moja kati ya ngoma mbili mpya alizoachia mkali wa bongofleva, Mo Music.
Baada ya kimya kirefu alipotoa "Basi Nenda" akaamua kuachia ngoma hii.
Imefanywa na Lollipop pale Classic Music

0 comments: