Show ya One Six Ndani ya River Side, Mpwapwa, JMosi 1.11.2014
Hii ni kwa wanaDodoma walioko Mpwapwa!!!!!
Mkali wa vocal na sweet reggae a.k.a Baba Maya, One Six, anategemea kufanya show kali kwa mashabiki wake wa Mpwapwa katika ukumbi wa River Side.
Kwa Buku 2 Tu! Unakosaje kwa Mfano?!!!
Saa 1 jioni mpaka majogoo.
Pia One Six, ataambatana na wasanii wengine toka Dodoma....njoo uone hiyo SURPRISE.
Kipaji, Wajua, My Valentine, Beautiful, Miss Bongo Movie na ngoma zake kibao zitapigwa live.
DON'T MISS AISEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
0 comments: