Mpigie Diamond Kura Tuzo za AFRIMA

Mtanzania, fanya uzalendo kumpigia Diamond kura kwa njia rahisi kabisa.
Akishinda yeye basi amewakilisha Tanzania yetu, sisi na wewe, na nyinyi na wao na Taifa zima.

Ingia katika link hiyo hapo chini...
http://www.afrima.org/index.php/vote/continental-category/the-regional-categories/best-male-artiste-in-east

0 comments: