Korea Kaskazini Yaamuru Kunyonga Viongozi Wake 10

Viongozi 10 wa ngazi za juu za serikali na jeshi za Jamhuri ya watu wa Korea Kaskazini wamehukumiwa kunyongwa baada ya kukutwa wakiangalia tamthilia na filamu za Korea ya Kusini.

Viongozi hao wameuawa baada ya kutolewa amri toka kwa kiongozi wa Taifa hilo kamanda Kim Jong-Un na kufanya idadai ya viongozi walionyongwa kufikia 50.


Habari zaidi tembelea http://goo.gl/kUKfES


0 comments: