Zitto: Kura ya Maoni ni Kupoteza Muda

Mbunge wa Kigoma Kaskazini (CHADEMA) Zitto Kabwe amesema Kura ya Maoni ni kupoteza muda maana Katiba inayotafutwa haina ridhaa ya watanzania ni matumizi mabaya ya pesa. Ameshauri fedha zinazokusudiwa kutumiwa na serikali kuendesha Kura ya Maoni ya Katiba Mpya inayopendekezw,a zitumike kununua mazao ya wakulima.


Chanzo cha Habari: 
https://www.facebook.com/eatv.tv/photos/a.159892260691867.39844.157303284284098/1061728957174855/?type=1&theater


0 comments: