Diamond Platnumz Ndani ya Matei Lounge, Dodoma, J'Mosi 11 Oktoba 2014

Mkali anayetamba na ngoma ya Mdogomdogo, Bumbum na Number One, baba Sepetunga a.k.a Chibu Dangote, the Platinumz himself, Diamond anategemea kufanya bonge la show ndani ya Matei Lounge, Area D, Dodoma siku ya jumamosi ya tarehe 11.10.2014 kwa kiingilio cha Tsh. 30,000 mapema, na Tsh 35,000 Mlangoni na kwa viti vya kawaida na 40,000 kwa viti maalumu (VIP).






















Show hiyo ambayo inategemewa kuongozwa na mtangazaji wa vipindi vya mchana vya burudani katika mziki wa kizazi kipya, Winston Makangale, kutoka Nyemo Fm 97.7.


















Pia show hiyo inayotarajiwa kuwa ya kipekee sana mana ndo mara ya kwanza kwa baba Sepetu kufanya show katika lounge kama Matei, ukiacha na alivyofanya uwanja wa Jamhuri.

Show hiyo pia imeandaliwa na kampuni ya simu ya Vodacom.






















Don't Miss the Show....Njoo Wewe na Mwenzako, Njooni Wote








0 comments: