New Video: Myson ft. Rospee - Hapakaliki

Kampuni ya video za muziki na filamu, After DayLight Films, inayomilikiwa na Raph Tz na Erick Backamaza, imeachia video mpya ya jamaa anayeitwa Myson aliyofanya na Rospee kwa pamoja wakiwakilisha Rotten Blood kutoka jijini Arusha.

Video ya wimbo huo "HAPAKALIKI" imemalizika mwanzoni mwa wiki hii na kuwekwa jana rasmi katika mitandao ya kijamii ikiwemo YouTube.



Video hiyo imefanywa na Erick Backamaza.
Tazama hapa chini umahili uliofanyika katika kutengeneza video hiyo.


0 comments: