Video Queen wa "Beautiful" ya One Six Anatafutwa

Kampuni ya video na filamu, After DayLight Films, iliyopo chini ya Erick Backamaza na Raph Tz inatafuta binti mrembo "Video Queen" wa kushiriki katika video ya One Six ya wimbo uitwao "Beautiful".

Hii ni kwa wakazi wote wa Dodoma, kwa binti anayeona anafaa kuwepo katika video hiyo. 
Mwenye kuona ana sifa awasiliane na Raph Tz 0716555916 na/au Backamaza 0759699789.
Au kwa facebook: Raph Tz au Dir Erick Backamaza II

0 comments: