Raph Tz Akitambulisha JIPANGE Aliyofanya na Tunda na Darasa, Impact Fm 94.4 Ndani ya Flavor Gx
Hii hapa interview ya Raph Tz akitambulisha ngoma yake ya Jipange ndani ya Flavor GX ya Impact Fm 94.4, Dodoma pamoja na Willz Snad, Dj D Time Classic na mwanadada matata D Ze Queen a.k.a Manywele.
Flavor GX ni moja kati ya vipindi vizuri vya mchana vinavyopendwa na vijana hasa wanaofuatilia harakati za wasanii wa kizazi kipya ndani ya Dodoma.
Raph afunguka juu na nyimbo zake alizofanya, ambazo ziko mbioni kufanywa na kutoka, na kama ujuavyo Raph Tz amekuwa mtu wa kupenda kuvuka mipaka na kufanya ngoma nzuri kila kukicha huku akiwashirikisha wasanii ambao tayari washakuwa maarufu kama Suma Mnazalet, Mabeste, Steve RnB na wengine wengiiii.
0 comments: