Audio: Brezy ft. Dogo Makopa & SuperTall - Tamu

Msanii anayewakilisha Dodoma na Morogoro ambae aliwahi na ngoma yake ya "Mama Lao" hivi karibuni aliachia ngoma mpya inayokwenda kwa jina la "Tamu"

Ngoma hiyo imefanywa chini ya Tacha Records na kusimamiwa na mtayarishaji G Brain, na kunogeshwa na ushirikiano wa Dogo Makopa na Super Tall.

Ni kweli TAMU....Je, ushawahi isikia?

Hii hapa toka kwake Brezy Chocolate mjukuu wa Chiwapanga mwana Kinyangoroka akiiwakilisha vyema Dodoma katika mziki wa kizazi kipya.
Enjoy

0 comments: