Audio: Mash J ft. Vennt Skillz - Kura Yangu

Mash J ni mmoja katika ya wasanii wakali sana ktk upande wa kufokafoka (rap/hiphop) na amewahi kufanya ngoma kali sana iliyoitwa "Mpera-Mpera" pale Kwanza Records kwa Vennt Skillz akimshirikisha Stamina.

Huyu hapa tena na ngoma mpya inayokwenda kwa jina la "KURA YANGU" aliyomshirikisha Vennt Skillza.

Ngoma imefanywa tena pale pale Kwanza Records kwa Vennt Skillz chini ya Mokomoko Movement.

Sikiliza halafu share na wenzako

0 comments: