Mbunge Mariam Mfaki Afariki Dunia


Aliyekuwa mbunge wa viti Maalum Mkoa wa Dodoma kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mariam Salum Mfaki amefariki dunia leo majira ya saa sita mchana akiwa amelazwa katika hospitali ya Mkoa wa Dodoma.


Kwa mujibu wa mtoto wa marehemu Muhammed Mfaki amesema mama yake alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa saratani tangu mwaka 2012 na ndo iliyosababisha kifo chake.

0 comments: