Utengenezaji wa Video ya "Hatujivungi" ya Young Suma ft. G Nako

Moja kati ya video kali alizowahi kufanya muongoza video Nisher, ni "Hatujivungi" ya Young Suma akimshirikisha G Nako.

Hii hapa ni nyuma ya pazia ya utengenezaji wa video ya Hatujivungi aliyofanyiwa na Nisher.

Na chini yake ni video iliyokamilika

0 comments: