New Video: Sometymz Memo - Weekend

Hii hapa video ya kwake Sometymz Memo, ya ngoma inayokwenda kwa jina la "Weekend"
Video imeongozwa na Rafimage, ila audio ilifanyika G Sound Records kwa Mnyama Double Y ndani ya Dom Town.

Je, ushawahi mfanyia mpenzi wako surprise weekend? Ona surprise ya kwake Memo kwa mpenziweeeeee....

Enjoy watching

0 comments: