New Video: Nillah - Ni Wewe

Ikiwa ni chini ya SDK Entertainment, video imeongozwa na Abykaz ya mwanadada wa kuitwa "Nillah" ambae zamani alikuwa anatumia jina la Hall C.

Ngoma inaitwa "Ni Wewe" ambayo audio yake ilifanywa na Imma the Boy.

Humu ndani yumo aliyewahi kuwa mshindi wa Big Brother Africa, Mwisho Mwampamba, na ameshiriki vizuri katika uhusika wa video.

Kiukweli haichoshi kuangalia, enjoy

0 comments: