New Audio: Sheby Bab ft. Buru One - Amkeni

Watanzania wahimizwa kuamka na mTanzania mwenzao katika kipindi hiki cha uchaguzi.

"AMKENI" ni moja kati ya ngoma nzuri na yenye ujumbe wa kuhamasisha wananchi kuamka na kufanya maamuzi sahihi katika suala la kuchagua viongozi.

Akiwa amefanyia katika studio ya La Soul production ya Cape Town, nchini Afrika Kusini chini ya mtayarishaji Beez, hii hapa ngoma ya kwake Sheby Bab akimshirikisha Buru One.

Na AMKENI ndo jina la ngoma.

Sikiliza halafu share na wadau



0 comments: