Nuh Mziwanda Arekodiwa Akimtongoza Wema Sepetu


Msanii wa bongofleva Nuh Mziwanda anayetamba na wimbo Bilima, amenaswa sauti na msanii wa bongo movie Wema Sepetu akiwa anamtongoza kutaka awe nae kama mpenziwe.

Inavyoonekana simu hiyo ilirekodiwa usiku kabla ya siku ya kufanyika kwa tuzo za Kilimanjaro maarufu kama KTMA wakati Wema akijiandaa kulala




Wema Sepetu alisikika akimwambia Nuh kuwa anaogopa kuwa nae kwa sababu anaogopa bifu na Shilole, na Shilole ni mtu ambae wanaheshimiana sana na ni kama rafiki yake ingawa hawana ukaribu sanaaaaaaaaaaaaaaa.

Skendo hiyo ambayo imemuweka Nuh Mziwanda ambae kwa sasa ni mpenzi wa Shilole katika matatizo makubwa hasa baada ya kuonekana kutojali kwa uwepo wa Shilole katika maisha yake licha ya tatoo kibao za picha ya Shilole alizojichora.

Nuh ameonekana akielezea hisia zake huku Wema akitia ngumu.

Hebu sikia hapa

0 comments: