New Video: Fred Swagg ft. Baraka Da Prince - Kikomo

Fred Swagg ni kati ya marapper wakali wanaowakilisha Mwanza. Alishawahi kufanya ngoma na Young Killer na KadGo iliyoitwa Mistari.

Hapa sasa akiwa na mkali wa vocal, Baraka da Prince katika ngoma iitwayo Kikomo, ambayo video yake imefanywa na Khalfan.

Audio iliandaliwa na Mr T Touch wa Free Nation.

Mpya kabisaaaa video hii hapa

0 comments: