New Video: Gazuko - Asante Sana

Katika vijana ambao wanafanya kufikisha ujumbe wa dini kwa njia ya rap/hiphop, basi huwezi kuacha kumtaja Gazuko.

Huyu ni mmoja kati ya wanamuziki wakali wanaofanya mziki wa Injili lakini kwa kufokafoka, sio kama wale wengine.

Akimshukuru na kumuimbia Mungu kupitia wimbo wake wa "ASANTE SANA", hii hapa video toka kwake Gazuko ambayo imefanywa na Mr Shack.

Audio ilifanywa na mtayarishaji Sam chini ya studio ya Bright Music, na humo ndani ameshirikishwa Matendo Andrew.

Watch and Enjoy video nzuri ya kwake Gazuko

0 comments: