Audio: Memo - Weekend

Ni mkali wa sauti na mtaalamu wa kucheza na hisia za nyimbo za mapenzi.

Akiwa anamkaribisha mpenzi wake nyumbani "WEEKEND" hebu sikiliza hiki anachomwambia,

Ngoma imefanywa na Double Y pale G Sound Records, Dodoma.

Kutoka kwa Sometymz Memo, hii hapa

0 comments: