New Audio: M2 Benga - Kaa Kimya

Ikiwa ni moja kati ya makundi makali na yanayofanya vizuri katika hiphop kutokea Dodoma. Kwa pamoja wanajiita M2 Benga yani M2 Mbili au Watu Wawili.

Walishawahi kutamba na wimbo "ON AIR" uliofanywa na Double Y pale G Sound Records, pia walishafanya ngoma nyingine nyingi studio tofauti kama vile B1 Records na nyingine.


Huku Bosco Flow, pembeni Mdosi Bilionea




















Kwa pamoja wanakwambia "Kaa Kimya" ikiwa imefanywa na Bello Bin Laden a.k.a Bello Moto ndani ya AJ Records, Area C, Dodoma.





0 comments: