New Video: Young 60 - Wa Chuo

Likiwa limepikwa likapikika kutoka nyanda za kati, ndani ya mji mkuu wa Tanzania, Dom Town City, chini ya muongozaji (video director) Moe Kaali wa kampuni ya One 4 Pixel ya huko huko Dodoma, hili hapa bonge moja la chupa la jamaa wa kuitwa Young 60 anayewakilisha Rap Nation.

Ngoma inaitwa "Wa Chuo" na audio ilifanywa na Kid Mane pale B1 Records, Makole, Dodoma.

Unajua Wa Chuo kafanya nini?

Hebu jionee mwenyewe Young Sitini alivyotanabaisha

0 comments: