Video: Linnah - No Stress

Hii hapa video ya Linnah ya wimbo wa kuitwa "No Stress"

Video imeongozwa na Godfather Production ya Afrika Kusini ambayo ndo kampuni iliyofanya video ya "Ole Themba" ya Linnah.

Watch, enjoy and share

0 comments: