Diamond Platnumz Ampa Makavu Jokate

UstaR una shida zake.

Hii hapa ikisikika sauti ya Diamond Platnumz ikimpa makavu Jokate Mwegelo a.k.a Kidoti baada ya kushutumiwa kutosupport wasanii wachanga wa Tz.

Diamond ajibu mapigo na kusema mbona hata yeye hakutoa hata support ya kupost cover /picha yake kuhamasisha watu wampigie kura, na amuomba aache unafki.

Sikiliza

0 comments: