New Audio: Uncreakable - Ya Moyoni

Uncreakable ni moja kati ya rapper wazuri sana toka Dom town. Pia ni music producer na huwa mara nyingine anajitengenezea mziki wake mwenyewe.

"Ya Moyoni" ni ngoma yake mpya aliyoifanya katika studio ya More Feelings, na yeye ndo mtayarishaji wa ngoma hiyo.

Je unapenda kujua ana nini moyoni mwake na anawaambia nini wadau humo ndani?

Hebu sikiliza, enjoy na share na wadau popote walipo

0 comments: