Utengenezaji wa Video ya "Nikuite Nani" ya Jux

Nikuite Nani ya Jux ni moja kati ya ngoma kali sana.

Video yake imetengenezwa na aliyepata tuzo ya Muongozaji Bora wa Video "Best Video Director" kupitia tuzo za watu, Hanscana de la Vinche.

Video hiyo ilifanyika katika fukwe ya bahari ya Hindi.

Hebu ona nani alihusika, nani alikatwa na nani alisaidia sana kumalizika kwa video nzima.

Chini yake utaona video iliyokamilika


Video ambayo ishakamilika, hii hapa chini



0 comments: