New Video: Jux ft. Joh Makini - Looking For You

Hii hapa video ya mkali wa RnB, Jux akiwa pamoja na gwiji wa hiphop toka A City na Weusi, Makini the Joh ama Joh Makini.

Ni video ya ngoma inaitwa "Looking 4 U" na imefanywa na Justin Campos toka Afrika Kusini.

Ni video kali....angalia, kisha share

0 comments: