New Video: Ainea ft. Dullayo - Judy

Hii hapa video mpya kabisa ambayo imetoka leo. Ni ya kwake Ainea katika wimbo uitwao "Judy" aliomshirikisha Dullayo.

Japo Dullayo hayupo katika video, ila ni kali na wimbo mzuri.

Ikiwa imeongozwa na Xaimako, itazame hapa

0 comments: