Lyrics za Wimbo "Awena" wa Kassim Mganga

"AWENA" ni moja kati ya ngoma kali zilizowahi kufanya vizuri katika muziki wa kizazi kipya/bongofleva nchini Tanzania na Afrika Mashariki kiujumla.

Awena imeimbwa na Kassim Mganga, msanii anayesadikika kuwa na staili tofauti ya mziki anaofanya kulinganisha na wasanii wengine, na imefanywa na producer Labizzo wa Jupiter Records, Zanzibar.
.
Kassim aliwahi pia kufanya ngoma kama I Love U, Haiwezekani, Nakuimbia, Sababu, Ndoa Ndoana, Amore, Motomoto na nyingine kali.



Raph Tz, msanii wa bongofleva/hiphop, ambae pia ni muongozaji wa video (video director) kwa kukubali kazi/ngoma ya Awena, ameamua kutengeneza lyrics za wimbo Awena za msanii huyo zikiwa katika mfumo wa video.

Licha ya kuwa Raph Tz alisoma shule moja na Kassim Mganga kidato cha 1 - 4 pale Shule ya Sekondari Dar es Salaam, 2001 - 2004, yeye pia ni shabiki mzuri wa Kassim Mganga tangu anaanza kufanya muziki.

Haya hapa mashairi (lyrics) ya Awena yaliyoandaliwa na Raph Tz katika mtindo wa video


0 comments: