James Lembeli Atangaza Rasmi Kuhamia CHADEMA

Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Kahama kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), mheshimiwa James Daud Lembeli, ametangaza rasmi kuhusu suala lake la kuhamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Kwa sasa James Lembeli amesharudisha kadi ya chama cha Mapinduzi.



Vyanzo vya Habari

0 comments: