Audio: Bin Simba ft. Double - Chozi

Ukitaja kati ya wasanii na wanaharakati toka Lunduno ama wanavyojulikana kama Tamaduni Muzik, basi huwezi acha kumtaja Bin Simba.

Jamaa ni mkali ile mbaya.

CHOZI ni moja kati ya ngoma zake alizowahi kufanya.

Ikiwa imepikwa vizuri na Double a.k.a Mnyama na kunogeshwa nae katika kiitikio ndani ya studio za G Sound Records.

Huyu hapa Bin Simba

0 comments: