Audio: Gifted Son ft. Salmoo - Coin Boy



"Coin Boy" ni moja kati ya ngoma kali sana toka kwa msanii Gifted Son anayewakilisha na kufanya vizuri Dodoma.

Swagg na kila kitu ndo vimejaa katika ngoma hii.

Humu ndani ameshirikishwa Salmoo na ngoma imefanyika More Feelng Production chini ya Uncreakable the Unstoppable.

Hii hapa



0 comments: