Audio: Jimmy Yeyoo ft. Salmoo - Lay Low

Hii hapa ngoma ya msanii Jimmy Yeyoo wa kundi la The Panadol kutoka Dom Town.

Ngoma inaitwa "Lay Low" imefanyika More Feeling Production chini ya Uncreakable Coin Boy ndani ya Dom Town.

Humu ndani ameshirikishwa Salmoo.

Hii hapa

0 comments: